FANYA WANAFUNZI
MAANDIKO:Mathayo 28:18-20
Yapo maneno matatu unaposoma Yesu anayataja kuwa ni YOTE nayo ni MAMLAKA, MATAIFA NA MAFUNDISHO YA YESU.
ungana na Dr. Peterson kwa Muda wa juma zima nawe hutoka bure. Ni katika Tawi la Mpombwe lililo katika kanisa la Tutuo.
Muda ni saa kumi na moja jioni.
Naye utabarikiwa
Kisunzu's
21 August 2016
10 August 2016
USIKOSE KUTEMBELEA HAPA
Mpendwa mdau usikose kutembelea hapa kwenye blogu Yangu kila Sikh hapa ndipo utakutana NA habari njema za wokovu.
Tumia japo dakika kadhaa kupita hapa. Mungu akubariki.
Tumia japo dakika kadhaa kupita hapa. Mungu akubariki.
Subscribe to:
Posts (Atom)