21 August 2016

FANYA WANAFUNZI


MAANDIKO:Mathayo 28:18-20
Yapo maneno matatu unaposoma Yesu anayataja kuwa ni YOTE nayo ni MAMLAKA, MATAIFA NA MAFUNDISHO YA YESU.




ungana na Dr.  Peterson  kwa Muda wa juma zima nawe hutoka bure.  Ni katika Tawi la Mpombwe lililo katika kanisa la Tutuo. 
Muda ni saa kumi na moja jioni.
Naye utabarikiwa

14 August 2016

10 August 2016

USIKOSE KUTEMBELEA HAPA

Mpendwa mdau usikose kutembelea hapa kwenye blogu Yangu kila Sikh hapa ndipo utakutana NA habari njema za wokovu.

Tumia japo dakika kadhaa kupita hapa. Mungu akubariki.